Mama alichapa mtoto juu alikuwa amelewa. Je,nani katikati yao alikuwa amelewa? Swali za ujinga Swali: Unaenda na ii mvua? Jibu: Hapana naenda na ile ingine Swali:Umeona prefect? Jibu: sikua namtafuta. Swali: Kwani umeshukwa nywele? Jubu:Hapana nimechange kichwa Swali:Umesikia news za lea? Jibu Sijaongea nazo. By .. Faith lE