Tangazo! Tangazo! Ni hapo mjini kwa Bwana Githeri na Bi Githeri.Bi Githeri naye alikuwa mjamzito hapo Bwana Githeri naye alikuwa mchapa kazi.Bi Githeri alikataa kumpikia bwanake chakula.Mara tu Bwana Githeri alipofika kutoka kazini alijibizana na mkwe.Mtoto tomboni alivyo sikia vyaelea vimeumbwa alitoka ghafla tumboni mwa mama na kuepuka hatari hiyo.Tangazo! Tangazo! Tafadhari mkimuona mtoto huyo piga ripoti katika kituo cha polisi.Hapo utalipwa tosti mbili za makamasi na lita mbili za maziwa ya kuku. BY Eunice