1. Enda nasika uko na kichwa kubwa hadi ukipita kando ya staffroom mwalimu anakuuliza locker wapi. 2. N asikia wewe ni mlafi hadi ulisema uzikwe kando ya hoteli. 3. W ewe ni mlafi hadi ukimaliza kuvuta sigara unalamba mikono 4. Gari yako ni noma hadi ikiona dem inaswag number plate 5. W ewe ni mshamba hadi unaenda kununua bar soap kwa bar 6. N asikia wewe ni mlafi hadi unakula shimo ya doughnut 7. N asikia wewe nimshamba hadi siku ya kwanza kuiona chapo ulisema ni handkerchiefs za kijeshi 8. Nasikia wewe ni mrefu hadi Mungu akikasirika anakusongea matatu 9. N asikia wewe ni mshamba hadi mara yako ya kwanza kuona rainbaow ulisema ni colgate ya Mungu